Hii Sasa ni Zaidi ya Balaa..Mfumuko wa Bei Wazidi Kupaa...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi Februari 2017 umeongezeka hadi kufikia asilimia 5.5 kutoka asilimia 5.2 mwezi Januari 2017.

Takwimu hizo zimetolewa jana Jijini Dar es salaam na mtakwimu mkuu wa ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja wakati akitoa taarifa ya mfumuko wa bei wa taifa wa mwezi Februari na kuongeza kuwa hali hiyo inamaanisha kuwa kasi ya upatikanaji wa bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioisha mwezi Februari 2017 imeongezeka ikilinganishwa na kasi ya upatikanaji ilivyokua kwa mwaka ulioisha Januari.

Amesema uwezo wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia shilingi 93 na senti 48 kwa mwezi Februari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad