Israel Yapiga Marufuku Adhana Misikitini..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BUNGE la Israel limeridhia muswada wa kwanza wa sheria, ambayo itaweka kikomo cha adhana – wito kwa Waislamu kwenda misikitini kutekeleza ibada ya sala.

Aidha unapiga marufuku matumizi ya vipaza sauti wakati wowote.

Hata hivyo, muswada wa sheria hiyo ulisababisha hasira kubwa miongoni mwa wabunge kutoka jamii ya Waarabu nchini hapa.

Muswada wa kwanza wa sheria hiyo unataka marufuku kwa mwadhini kutumia kipaza sauti kati ya saa tano usiku na saa moja asubuhi, ukilenga adhana kwa sala ya Alfajiri.

Mbali na muswada huo, mwingine unapendekeza marufuku kwa mwadhini kutumia kipaza sauti katika mitaa yenye makazi ya watu, na faini ya kiasi cha euro 2,600 itatozwa kwa yeyote atakayekiuka sheria hiyo.

Sheria ya kwanza itahusu misikiti katika eneo la Jerusalem Mashariki linalokaliwa na Israel na pia maeneo yote ya nchi hiyo, lakini haigusi viwanja vinavyouzunguka msikiti wa al-Aqsa ambavyo vimo katika mgogoro huo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ewe Mola wa Ulimwengu,hakika haya yote wewe unayajuwa na kuyaona. .Okoa Waja Wako hawa ili waweze Kukuabdu kwa furaha na Aamani..Aamiina

    ReplyDelete
  2. AMIYNA,AMIYN,AMIYN..INSHAALLAH

    ReplyDelete
    Replies
    1. AMEEN YA RABIL ALAMEEN
      DINI NI YA ALLAH SIO YA WAPALASTINE.KWA HIYO WANACHOFANYA NI KUWAZUIA WATU KUMUABUDU ALLAH.YATAWAPATA YALIYOMPATA FIR AUN.

      Delete

Top Post Ad