Jinsi Mababu Zetu Walivyotumia Njia ya Kiini Macho Kuongeza Ukubwa na Urefu wa Maumbile ya Kiume..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Suala la udogo wa  maumbile  ya  kiume lipo tangu  enzi  za  mababu  zetu. Enzi  za  mababu  zetu, suala  la  udogo  wa maumbile  ya  kiume  lilikuwa  linatibiwa  kwa  kutumia  njia  kuu  mbili.  Njia  hizo ni  kama  ifuatavyo :

1.   KUCHANJIWA AMA  KUNYWESHWA  DAWA  YENYE  KUONGEZA  UKUBWA WA  MAUMBILE

 Hapa  mwanaume  mwenye  tatizo  la kuwa  na  maumbile  madogo  ya  kiume  alichanjiwa  au  kunyweshwa  dawa  ya  asili  yenye  uwezo  wa kurefusha  na   kuongeza  urefu na  ukubwa  wa  maumbile  ye  kiume.  Kama  iligundulika  kuwa, tatizo  la  mwanaume  husika  lilitokana  na  mkono  wa  mtu ( kurogwa ), basi  zoezi  la  kumchanja  au  kumnywesha  dawa  mwanaume  huyo lilienda  pamoja  na  tambiko  maalumu  la  kuua  nguvu  ya  uchawi  ulio  tumika  kufunga  ukuaji  wa  maumbile  ya  kiume  ya  mwanaume  huyo

Sababu  zilizo  wafanya  watu  wawafunge  watoto  wa  kiume  au  wanaume  maumbile  yao  yawe  madogo  ni  pamoja  na ; Kwenye  ndoa  za  mitaala, mke  anawafunga  watoto  wa  kiume  wa  mke  mwenzake  ili  waishie  kuwa  na  maisha    yenye  mateso  na  mahangiko ( SIKU NYINGINE  NITAELEZEA  JINSI   WATOTO  WA  KIUME  NA WANAUME  WANAVYO  FUNGWA   KUWA  NA  MAUMBILE  MADOGO  YALIYO SINYAA  )

Mwanamke  anamfunga  mwanaume  aliye mkataa  nakadhalika. Sababu  ni  nyingi  sana.

Kwa  bahati nzuri, nimeshaelezea  jinsi  na  namna  ya  kuongeza  na  kurefusha  ukubwa  wa  maumbile  ya  kiume  kwa  njia  ya  kuchanjia  au  kunywa  dawa.

Leo  nitaelezea  kuhusu  njia  ya  pili, ambayo  ni  KUONGEZA  UREFU  NA  UKUBWA  WA  MAUMBILE  YA  KIUME  KWA  NJIA  YA  KIINI  MACHO.  Njia  hii  haijulikani  na  watu  wengi.

Tiba  hii  hutumiwa na  mtu  ambaye  amethibitika  kuwa  suala  la  udogo  ama  ufupi  wa  maumbile  yake  ya  kiume, unatokana  na  maumbile  ya  asili. Yaani  amerithi  vinasaba  vya  maumbile  yake  kutoka  kwa  wazazi  wake na  wala  hajarogwa   na  mtu  yoyote.

Njia  hii  hutumiwa  na  magwiji  wa  tiba  za  jadi  tangu  enzi za  mabibi  na  mababu  wa  mababu, leo  nitaielezea  kwa  ufupi.

JINSI  YA  KUONGEZA  UKUBWA  NA  UREFU WA  MAUMBILE  YA  KIUME  KWA  NJIA YA  KIINI  MACHO

Kiini  macho  ni  uchawi  unao tumika  kufunga  na  kuyamiliki macho  ya  mtu  pamoja  na  kuyaelekeza  ama  kuyaamuru  yaone  na  kuamini  kile  ambacho  wewe  unataka   yakione  na  kukiamini.

  Katika  tiba  hii, mwanaume  anachanjiwa  dawa  kwenye  uume  wake  pamoja na  sehemu  nyinginezo za  mwilini mwake  kwa  lengo  la  kuyafunga, na kuyaamuru  macho  na  akili  ya  mwanamke  atakae  kutana  nae  faragha  kumuona  kama  mwanaume  mwenye maumbile makubwa  ya  kiume.

Kabla  ya  mwanaume  kuchanjiwa  dawa  hii, kwanza  unaandaliwa  huo  uchawi  wa  kiini  macho.

JINSI  UCHAWI  WA  KIINI  MACHO  UNAVYO TENGENEZWA.

Anachukuliwa  paka  mweusi  aliye  asi  nyumbani (  Paka  wa  aina  hii  katika  ulimwengu  wa  wachawi  huwa  wanajulikana kama  “  KIMBURU” ,    paka  huyo  anapelekwa  njia  panda  saa  sita za usiku, kisha  anatobolewa  macho, halafu  kwenye  macho  yake  zinawekwa  mbegu  za  mti  wa   mnyonyo.

Baada  ya  hapo, litachimbwa  shimo , kisha  paka  huyo  atazikwa  humo.

Huyo paka  akisha  zikwa , litaanza  zoezi  la   kumwagilizia  sehemu  aliyo  zikwa  paka  huyo.  Eneo  hilo  litakuwa linamwagiliziwa  mara  saba  kwa  siku, asubuhi  mara  tatu, mchana  mara  mbili  na  usiku  mara  tatu.

Eneo  hilo  litamwagiliziwa  hadi  uote  mti  wa  mnyonyo na  kukomaa.

Mti  wa  mnyonyo  ukishaota  na  kukomaa , itachukuliwa  ile  mizizi  ya  huo  mnyonyo  na  kupondwa  pondwa   pamoja  na  dawa  ya  asili  inaitwa  nkwesi.

Zoezi  la  kuponda  ponda  hiyo  mizizi  ya  mnyonyo  pamoja  na  hizo nkwesi likikamilika,   mhusika    ataenda  kwenye  eneo  lenye  mkutano  au  onyesho  lolote  kisha  atachukua  uchafu au takataka  za  eneo  hilo  wakati  watu  hao wakiwa  bize  wanasikiliza  mkutano, atazichoma  hadi  ziwe  unga unga.

Baada  ya  hapo  atachanganya  dawa  hizo  nilizo  zitaja  mwanzo,yaani mizizi  ya  mnyonyo  na  nkwesi  pamoja  na  madawa  mengine  ya  asili.

Zoezi  la  kuchanganya  mizizi  ya  mnyonyo  iliyo  sagwa  pamoja  na  kwesi , takataka  & uchafu  uliochukuliwa kwenye  mkutano  na  kuchomwa  pamoja  na  dawa  nyingine  za  porini, litafuata  zoezi  la kuchinja  punda.

Watachukuliwa  punda  saba  (YOTE  MADUME  YALIYO KOMAA ), Punda  hawa  watachinjwa  kwa  tambiko  rasmi.  Punda  hawa  watachinjwa  kwa  muda  wa  siku saba  mfululizo, kila  punda  mmoja  atachinjwa  kwa  siku  moja.

Kila  punda  atakae  chinjwa, itachukuliwa  DHAKARI  yake  ama  uume  wake kwa  wale  wasio elewa  dhakari  maana yake  nini, dhakari  za  hawa  punda zitaunganishwa  zote  kwa  pamoja, zitachanganywa  na  majivu  ya  kondoo  mweusi  aliye  pita  duniani  bila  kuonekana, utukakanga  wa  baharini  au  wa  porini  pamoja  na  dawa  nyingine  za  porini..  Baadae   litafanyika  tambiko  rasmi  la  kuchanganya  dawa ama  vizimba  vyote  nilivyo  vitaja  hapo  hapo  juu.

Dawa  hii  watapewa  wanaume  wenye  tatizo la  maumbile  mafupi  na  madogo  ya  kiume,  watajichanja  wenyewe   katika maeneo  Fulani  Fulani  mwilini  huku  wakitamka  maneno  Fulani 

Basi  kila  mwanamke  atakae  kutana  na  mwanaume  huyu ataenda  kusimulia,  kwa  wenzake  kuwa amekutana  na  mwanaume  wa  ukweli  na  anae  ijua  kazi  ambayo  iliwaleta  wanaume  duniani.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad