Duh Doma Sana..Hiki Ndicho Alichokifanya Makonda Dhidi ya Kamati ya Nape Nnauye ,Aliwaweka Nnje wapigwe na Jua Kisha Akawatoroka Kupitia Mlango wa Nyuma...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika hali isiyokuwa yakawaida,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda Alikimbia kuhojiwa na kamati ya kuchunguza sakata la kuvamia kituo cha clouds media iliyoundwa na Waziri wa Habari Sanaa,Utamaduni na Michezo Mhe Nape Nnauye.

Mwenyekiti wa kamati hiyo hii leo amebainisha kuwa walipokwenda ofisini kwa Makonda Aliwasubirisha nnje kwa zaidi ya saa tatu ambapo alikuja msaidizi wake akawaaambia Makonda Ametoka kidogo hivyo waendelee kumkoja,

Akazidi kubainisha kuwa wakati wanamngoja Makonda Alitumia mlango wa nyuma na kuwakimbia bila ya wao kujua hali iliyowafanya wakae ofisini hapo hadi saa tisa mchana ambapo waliamua kuondoka.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BASHITEEEEEEEEEEEEEEEEE 0000000000000

    ReplyDelete
  2. Awe Bashite au makonda. Ni mwendo mbeleee kwa mbeleee. Mwendo mdundo. Wapeleke wapeleke tu baba, tumeichoka midomo yao. Wewew chama kazi. Hiii Ni nchi bwana sio jalala. Hongera kwa uchapaji kazi kwanza

    ReplyDelete

Top Post Ad