AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Siku moja baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kuwakaribisha kwenye chama chake kipya waliofukuzwa CCM kwenye mkutano maalum, aliyekuwa mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amesema amukua kwenye chama hicho kwa miaka 46 na hataenda chama kingine bali atabaki kuwa mkereketwa mwaminifu wa chama cha mapinduzi.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huu ndio msimamo thabiti,sio mtu unapata msukomsuko ndani ya chama chako siku mbili unahamia kwingine.Hata Zito alinifurahisha sana,hakukurupuka kujiunga ATC-Wazalendo.Bora kubaki bila chama kuliko kwenda upinzani kwa sasa.Mimi naamini kama hizo tuhuma dhidi yako sio kweli,Mungu atatenda tu,kuna siku watakuomba msamaha wale wote waliochombeza uonekane msaliti.
ReplyDeleteKawavimbia Lowassa na Mbowe ndio waliomwita sio Magu usiandike habari kikereketwa
ReplyDeleteHapa sasa ndio tutawajua nani alikuwa CCM kweli, na nani alikuwa pandikizi
ReplyDeleteEwe bibi wee. Umeshaambiwa hutakiwi na umeshafukuzwa. Hutaki kuenzi utu
ReplyDeletena heshima yako? Wewe wakikwambia hawakutaki mara moja wewe waambie kuwa nawe huwataki mara kumi. Kwanini unajifanya rahisi na huwataki wale wanaokutaka, kukonea hurma na kukupenda au nawe unajihishi huna thamani? Wewe ni Simba