AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
UJINGA,NDIO MAANA MNAAMBIWA MNAPENDA KUNUNUA KESI.BADALA YA KUNZIA MAHAKAMANI KWA NINI MSIMUANDIKIE RAIS KWANZA?
ReplyDeleteKesi kuanzia jan-dec?Kuna vitu vya msingi,hangaikeni na hao bomobomoa,mnachosha. Magufuli mbona mlinywea?si nae mlitaka elimu yake?
ReplyDelete