Noma Sana.. Aunt Ezekiel Afunguka Juu ya Mimba Alizotoa,Adai Ni Nyingi Hadi Hazikumbuki...!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ameshawahi kutoa mimba kadhaa lakini hajui ni ngapi

Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, akijibu swali la shabiki wake kupitia Kikaango cha EATV aliyetaka kujua idadi ya mimba ambazo amewahi kutoa, Aunty alisema hawezi kusema uongo kuwa hajawahi kutoa mimba, lakini kitu ambacho hakumbuki ni idadi ya mimba alizowahi kutoa.

“Kutoa nishawahi, nikisema sijawahi nitakuwa muongo, ila kukumbuka ni mimba ngapi ndiyo tatizo,”alisema staa huyo wa filamu.

Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, amesema kwa sasa anatamani zaidi kupata mtoto wa kiume atakamuita jina la Greyson ambalo ni jina la babu yake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. is that not abortion??? na sheria anasemaje ??? jamani Mungu msamehe.hiyo mbayaaaaaaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad