Simama Upande wa Lulu...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kama binadamu na Kama mzazi ukiacha mapungufu yote ya Lulu. Elizabeth Michael naye ni binadamu mwenye hisia kama wengine! Anastahili kupata kila unachostahili wewe, upendo ulinzi kujaliwa utu wake kusifiwa privacy nk nk 

Kuna watu wana kipawa cha kuwa maarufu kiasili Lulu ni mmojawapo na tatizo limeanzia hapo 
Ni binti ambaye nyota yake iliwaka akiwa mdogo kabisa, umaarufu wake kuna watu wameusotea miaka bila kuupata..hili ni tatizo la pili

Nyota yake hiyo ikaenda sambamba na matatizo, katika Umri mdogo kabisa akapata mpenzi ambaye mamilioni ya wanawake wangetamani kumpata na ikibidi kummiliki milele..hili ni tatizo la tatu na msingi wa mada

Hulka yake binadamu ni kufurahia ama kuona mwingine anashindwa hasa yule anayedhani kamzidi hiki ama kile...ishu za haters huanzia hapa 

Tangu wakati huo Lulu hajawahi kupumua ikawa ni bandika bandua ya matatizo, sehemu kubwa ya jamii ikajitenga naye bila kutafakari kwamba nje ya ustaa na umaarufu wake Lulu ni binti kama binti mwingine yoyote anayepitia hatua za kawaida kabisa za makuzi na anakumbana na mengi.... Mabinti wengi huchukua maamuzi mabaya ya kujiua kwenye changamoto ndogo tu za ukuaji 

Jamii ikamtenga fulani hivi wachache wakampa moyo wa kusonga mbele anaweza kusimama na kuendelea mbele NAMSIFU

matatizo yamemkomaza yuko imara kuliko maelfu ya watu, lakini ni nani anayependa kuambiwa kuwa ana nuksi? Ama kimavi? Ni nani anayependa kuitwa kuwa yeye ni malaika wa kifo? Hakuna!!!! 

Lulu katika binadamu wake anapenda maisha yake amani furaha na upendo... Lakini kagundua kuna tatizo mahali... Kaenda kusaka tiba mbadala, limekuwa ni tatizo kubwa! 
Ni nani ambaye hapendi kujaribu njia nyingine kama akiona mambo hayaendi? Tuacheni unafique kiwango cha PhD
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad