Sirro - Kuna Baadhi ya Wasanii Ukiwapigia Simu Hawapokei Wanadhani Wataambiwa Waje Centro...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kamanda wa polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao hawapokei simu wakidhani wakipigiwa itakuwa ni suala la dawa za kulevya.

Kamanda Sirro ameyasema hayo Jumatano hii katika mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ambapo leo ametimiza mwaka mmoja tangu ateuliwe na Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Amesema, “Awali ya yote Kwanza nimpongeze Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa kutimiza mwaka mmoja lakini pia nimpongeze kwa kuwaleta vijana wetu hasa wale waliokuwa wanatumia madawa ya kulevya. Kwangu ni siku ya furaha kwasababu tangu hili zoezi lianze hata nikiwapigia simu wasanii kama wakina Banana Zoro hawapokei simu, hata viongozi wa dini hivyo hivyo lakini hii inaonesha kwamba kila mtu anajua umuhimu wa suala hili.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad