AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msanii wa vichekesho Steve Nyerere ameibuka na kumjibu msanii TID huku akieleza kufurahishwa na hatua ya TID kumfananisha na panya kwa kuwa inaonesha jinsi alivyo mjanja ambaye anaweza kujitafutia na kusema
Wakati akifurahi kufananishwa na panya, Steve amemfananisha TID na paka ambaye husubiri kutengewa kila kitu.
Steve Nyerere alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye hawezi kuanza kujibishana na TID sababu kwake TID si kitu chochote.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Bongo muvi na Bongo fleva wote wasanii nani zaidi..JB toa uamuzi
ReplyDeleteBongo muvi na Bongo fleva wote wasanii nani zaidi..JB toa uamuzi
ReplyDeleteBongo muvi na Bongo fleva wote wasanii nani zaidi..JB toa uamuzi
ReplyDelete