Ukweli Juu ya Freemason na Illuminati Walivyofanikisha Kifo cha Michael Jackson Baada ya Kukiuka Masharti Yao, Sehemu ya Kwanza (1)...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’

Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi.

Katika wimbo huo Michael Jackson anaonekana akitakaswa na maji matakatifu, sauti ya shetani akiwa amekasirika inasikika, Michael Jackson anazaliwa mara tatu kama alama ya ‘kuzaliwa upya, kuwa mtu mpya na kuachana na mambo ya kale, kisha najipongeza mwenyewe kwa hilo, anapiga magoti mbele ya Mungu na kuwa huru kutoka kwenye mikono ya illuminati. 

Kisha kachukua maji matakatifu na kuyamwagia kwenye alama ya ‘ROYAL ARMS’ na ‘Royal’ ikiwa na maana ya ‘Royal Bloodline’ ambazo nazo zipo 13. Mwishowe Michael anabadilika na kuwa ‘panther’. Lakini kabla ya hapo alivunja kioo cha gari kilicho andikwa ‘NIGGER GO HOME’ na na ndani ya maneno hayo nambari ‘666’ ikiwa imefichwa ndani yake. 

Akavunja bango la ‘KKK’ ambapo ‘K’ ni herufi 11 kwenye alfabeti,hivyo 11x3=33, lakini pia ‘KKK’ inasimama badala ya jina la Ku Klas Klan, ambalo ni jina la kikundi cha Illuminanti, kilicho undwa na Albert Pike mwana masonia wa daraja la 33, kikundi hichi ni cha kibaguzi na kinahusishwa na kila aina ya uchafu unao fanywa na Illuminanti dhidi ya watoto, wanawake na watu wa matabaka mengine.

Mwishoni Michael Jackson alipogeuka ‘Panther’ ambapo panther inawakilisha, nguvu, uhuru, kuzaliwa upya baada ya mateso, yaani kuwa mtu mpya. Miaka 3 baada ya wimbo huo hadithi ya Michael Jackson kwenye vyombo vya habari ikabadilika.

Miaka 17 iliyo fuata Illuminanti walikuwa kwenye vita kali na Michael Jackson, kwa miaka yote hiyo walifanya kazi kubwa ya kuibomoa taswira yake kwenye vyombo vya habari na kwenye macho ya walimwengu.

Hawakutaka kumuua kipindi hicho kwa sababu hilo lingezindua watu, walimwengu wangeona kuna ambacho hakipo sawa, hivyo ilihitaji mpaka muda maalum, wakati muafaka.

Ingawa Michael Jackson hakung’ara na kupanda chati kwa sababu ya ‘ku-sale his soul to the devil’ lakini kwa sababu ya kipaji chake, lakini hata hivyo Illuminati hawakupoteza malengo yao, walimtumia Michael Jackson kwenye kazi zake kutukuza na kutangaza ushetani.

Wimbo kama ule wa ‘Thriller’ na ‘Beat it’ utakuta kwenye mashairi yake kumebeba vionjo vya kishetani.

Kwa Illuminati ‘mtu mweusi’ ni sawa na mnyama, yaani thamani yake ni ndogo, yaani siyo binaadam kamili, hili linahitaji mtiririko wa post kadhaa iliuweze kuelewa, lakini unapotizama filamu za Hollywood, unapotizama sera za nchi za Ulaya dhidi ya nchi za kiafrika, unapotizama matukio ya ubaguzi kote duniani, hutachelewa kuona kuna tatizo la makusudi la kutengenezwa dhidi ya matabaka na rangi za watu.

Hivyo Michael Jackson naye ‘weusi’ wake ulikuwa ni shida kwenye kipaji chake, ‘baniani mbaya kiatu chake dawa.’

Vipi basi mtu mweusi awe ‘KING OF POP’ na abakie kama kama mtu mweusi, na akumbukwe kama mtu mweusi, hapana hili hata kidogo haliwezekani, hata kidogo haifai mtu mweusi kuwa ‘king of pop’ kazi ya ziada ikafanyika na Michael Jackson akaambukizwa au akatiwa ugonjwa wa ngozi unao fahamika kama ‘VITILIGO.’

Kwenye mahojiano ya mwaka 1993, Michael akasema kuwa ‘Baba aliniambia kuwa ugonjwa wa ngozi wa Vitiligo upo kwenye damu ya familia yetu”

Lakini ajabu ugonjwa ulimpata Michael Jackson peke yake ambaye ametokea kuwa ni King of Pop.

Kabla ya ‘Thriller’ MTV, walikataa kuonesha kwa watazamaji wake wimbo wowote wa Michael Jackson.

Kwanini?

Michael Jackson ni MWEUSI.

Kesho Usikose Kusoma na kufuatilia Sehemu ya Pili na ya mwisho kujua kwa kina ..!!!!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYU BWANA KWANGU MIMI NI SYMBOL YA UDAHIFU NA KUTOJITAMBUA. HUO UGONJWA UNAOITWA VILIGO ULIKUJAJE??? TAARIFA ZINASEMA ALIFANYA UPSUAJI ILI AWEZE KUFANANA NA WAZUNGU, WE LEO UNTAUAMBIA ALIUGUA UGONJWA WA VILIGO.
    KIMSINGI MIMI HUMTAZAMA KAMA MTU ALIYESHIONDWA NA UMAARUFU NA UKAFANIKIWA KUMWENDESHA MPAKA AKACHNGANYIKIWA NA KUANZA KUFANYA YASIO FAA.

    ReplyDelete

Top Post Ad