Video: Stan Bakora Akimuigiza RC Makonda, Ataja List ya Wasanii 10 Waoishi na Wanawake Bila Kuoa..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchekeshaji Stan Bakora akimuigiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja orodha ya wasanii 10 wa muziki ya uigizaji ambao wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu bila kuoa mabao yeye amewaita wahalifu.

Stan Bakora amewataka wasanii hao akutane nao ‘sentro’ kwa kile alichosema kuwa wanakosea kufanya hivyo


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahaha! muheshimiwa auhitaji msaada wa wananchi, tukutajie majina mengine tehetehe

    ReplyDelete

Top Post Ad