Akyanani..Mashabiki wa Simba Mkisikia Alichokisema Cannavaro ,,Lazima Mlie..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema kasi waliyokuwa nayo kwa sasa hakuna timu ya kuwashusha tena kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Cannavaro, alisema watacheza kwa umakini mkubwa michezo yao iliyobaki na kuhakikisha hawapotezi pointi mpaka mwisho ili kutetea ubingwa wao.

"Kwanza tulitaka kukaa kileleni kwa sababu hakuna ubingwa bila kukaa kileleni..., tutahakikisha hatutoki tena kwenye uongozi wa ligi mpaka mechi yetu ya mwisho," alisema Cannavaro.

Aidha, alisema pamoja na kuwa kwa sasa Yanga inaongoza ligi, bado kuna ushindani mkubwa katika kuwania ubingwa msimu huu.

"Vita bado haijaisha…, huu ni mpira na lolote linaweza likatokea hivyo hatupaswi kujisahau," aliongezea kusema Cannavaro.

Aliwataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuwasapoti na kuwatia moyo wachezaji wao ili kuhakikisha wanatetea ubingwa wao na kupata nafasi nyingine ya kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa mwakani.

Yanga inaongoza ligi kwa tofauti ya pointi moja baada ya kufikisha pointi 56 ikifuatiwa na Simba yenye pointi 55.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad