AT - Mcheezeeni Ali Kiba ,Anayekaa Kimya Hata Akitukanwa Mimi Hamniwezi..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amchana vikali 'dancer' na msanii Msami kwa 
kumwambia kwake siyo mahali pakuchezea kama anavyodhania huku akimtaka aende kwa Alikiba kwakuwa ni mnyonge hata akitukanwa hukaa kimya.

Hayo yameibuka baada ya Msami kumtaka AT aboreshe kazi zake badala ya kulalamika kuwa kuna watu wanaobebwa huku akijitapa kuwa dancers wana maisha mazuri na mafanikio makubwa kumzidi yeye.

“Hawa watoto huku kwangu siyo pakuchezea, mchezeeni Alikiba mnyonge anakaa kimya hata mkimtukana hajibu kitu ila huku kwangu waachane napo siyo kwa kawaida na kama hawataki basi wajaribu zali kama wenzao halafu watapata majibu yao”. Alisema AT

Aidha AT alifika mbali zaidi kwa kusema yeye ni msanii bora kuliko anavyomchukulia kwa kuwa anaweza kucheza na ‘vocal sound’ kwa kuiga sauti  wasanii wakubwa huku akitolea mfano kwa Bi. Kidude, Oliver Mtukuzi pamoja na Chriss Brown

 “Wewe hunijui,  umeenda tu kuruka ruka sehemu umechukuliwa baadae umejiona umeimba chooni ukadhani unajua kuimba. Mimi mwenzio nimeenda chuoni”. Alisisitiza AT

Mbali na hilo AT aliwataka watu ambao wanatafuta majina kupitia yeye wakome kabisa tabia hiyo kwani yeye ni mtu mbaya akisema siku aachie mabomu yake hawataweza kuvumilia kwani watatafutana, hivyo kama wanataka kiki waende kwa Harmorapa lakini si kwake. 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad