Bodi ya Filamu Yakanusha Kuzuia Filamu za kigeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dar es Salaam. Bodi ya Filamu Tanzania, imekanusha taarifa zilizosambaa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa Serikali inazuia kwa makusudi uingizaji,usambazaji na uuzwaji wa filamu za kigeni nchini. 

Madai ya taarifa hiyo ni kwamba Serikali ina lengo la kuwalazimisha wananchi kuangalia filamu za ndani (bongo movie). 

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na bodi hiyo leo zinaeleza kuwa habari hiyo haina ukweli wowote na umma wa Tanzania una tahadhalishwa kuipuuzia . 

“Taarifa hizi zina lengo la kupotosha na kudhoofisha juhudi za Serikali za kuhakikisha kila mtu anafanya biashara ya filamu kwa kufuata sheria na kanuni zilizopo,”imeeleza taarifa hiyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad