Chidi Benz Arudi Uraiani...Amfungikia Kalapina

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki wa hip hop, Chidi Benz amedai amejifunza vitu vingi kwa kipindi cha miezi mitatu alichokaa rehab mkoani Tanga na Iringa kwa ajili ya kusaidiwa kuacha matumizi ya dawa za kulevya. 

Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Chid Benz amedai kukaa rehab kwa miezi mitatu bila tatizo ni mafanikio mapya katika maisha yake. 

“Nimejifunza vitu na ninaendelea kujifunza vitu,” alisema Chidi. “Nimekaa muda mrefu zaidi maana sijawahi kukaa rehab miezi mitatu na ndio maana unaona nimetulia mpaka sasa hivi. Nina miezi miwili toka nimetoka niko poa niko freshi,” 

Katika hatua nyingine rapa huyo amemtaka mwanaharakati wa kupambana na dawa za kulevya, Kalapina, kujifunza mbinu mpya ili aweze kuwasaidia vijana wa aina mbalimbali ambao wanakumbwa na tatizo hilo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chid aachane na hizo dawa sass maana badala yake sisi funs wake ndo tunaoumia Sana kumwona katika hali hiyo.... Hope Mungu atamsaidia Amen������

    ReplyDelete

Top Post Ad