CUF ya Lipumba Wakiri Jamaa Aliyepigwa Juzi Kwenye Mkutano wa Maalim Seif ni Mlinzi Wao..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Chama cha Wananchi CUF kimekiri kuwa mtu aliyekatwa kisigino katika vurugu zilitokea Jumamosi iliyopita ni mlinzi wa chama hicho.

Akizungumza leo Mkurugenzi wa Habari wa CUF,Abdul Kambaya amesema mlinzi huyo na wenzake walikwenda Mabibo kwa ajili ya kufanya doria.

Amesema mlinzi huyo Rashid Mtawa alikatwa mapanga na wafuasi wa chama hicho wanaounga mkono upande wa Katibu Mkuu Seif Sharif   Hamad.

Amesema si kweli kwamba mlinzi huyo alipigwa na wananchi wenye hasira bali CUF upande wa Maalim Seif.

Amewaomba radhi waandishi wa habari kwa tukio hilo na kusema chama hicho ndicho kimesababisha wapigwe.

"Hata kama sisi hatukuhusika kuwapiga waandishi tunaomba radhi kwa sababu bila kuwepo CUF wasingepigwa.” amesema
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad