HARMORAPA - Sina ‘Appetite’ ya kufanya kazi na Harmonize-..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Sahau kabisa suala la kuwasikia Harmorapa na Harmonize katika wimbo mmoja.

Japo wawili hao wanatokea upande wa Kusini mwa Tanzania, lakini wameonekana kutopikika katika chungu kimoja. Akiongea katika kipindi cha Joto La Asubuhi leo, Harmorapa ambaye ni hitmaker wa ngoma ya ‘Kiboka ya Mabishoo’ amesema hakuna kolabo yoyote itakuja kutokea kati yake na Harmonize.

“Swala la kufanya kazi na Harmonize hilo halipo. Kila mtu unajua anakuwa na ‘appetite’ na mtu fulani wa kufanya naye kazi,” amesema rapper huyo.

Harmorapa ameongeza kukosea kwake katika lugha ya kingereza, anachukulia kawaida tofauti na watu wanaochukulia jambo la yeye kujiita ‘Strong Woman’ kiukubwa na zaidi kwa kumkejeli.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. my dear you are crossing your limits kwanza umejichagulia jina lifanane na hamornise uakajiita hamorapa sasa eti huna appetite ya kuimba na hamornise evo wewe ni wa wapi? are you in your sense?

    ReplyDelete
  2. Yeye mwenyewe hawezi kuwa na appetite ya kazi yako. Kawimbo kamoja tu shiiiiiiiidaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad