AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sahau kabisa suala la kuwasikia Harmorapa na Harmonize katika wimbo mmoja.
Japo wawili hao wanatokea upande wa Kusini mwa Tanzania, lakini wameonekana kutopikika katika chungu kimoja. Akiongea katika kipindi cha Joto La Asubuhi leo, Harmorapa ambaye ni hitmaker wa ngoma ya ‘Kiboka ya Mabishoo’ amesema hakuna kolabo yoyote itakuja kutokea kati yake na Harmonize.
“Swala la kufanya kazi na Harmonize hilo halipo. Kila mtu unajua anakuwa na ‘appetite’ na mtu fulani wa kufanya naye kazi,” amesema rapper huyo.
Harmorapa ameongeza kukosea kwake katika lugha ya kingereza, anachukulia kawaida tofauti na watu wanaochukulia jambo la yeye kujiita ‘Strong Woman’ kiukubwa na zaidi kwa kumkejeli.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
my dear you are crossing your limits kwanza umejichagulia jina lifanane na hamornise uakajiita hamorapa sasa eti huna appetite ya kuimba na hamornise evo wewe ni wa wapi? are you in your sense?
ReplyDeleteYeye mwenyewe hawezi kuwa na appetite ya kazi yako. Kawimbo kamoja tu shiiiiiiiidaaaaaaaaa
ReplyDelete