IGP: Tunawasaka Watu Wanaofurahia na Kukebehi Mitandaoni Baada ya Askari Kuuwawa..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu amesema jeshi hilo linawasaka watu wanaofurahia mitandaoni na kukebehi baada ya askari wake kuuawa.

IGP ameyasema hayo wakati Miili ya Askari nane wa Jeshi la Polisi ikiagwa leo Mkoani Pwani.

IGP Mangu amesema, tulitumue tukio hili kama changamoto, ili tupeane nguvu badala ya kukatishana tamaa. Kuna watu wameanza kukejeli kwenye mitandao baada ya hili tukio kutokea, mheshimiwa Waziri nakuhakikishia tutawasaka hao wanaoendeleza kejeli badala ya kutupa pole wanakejeli na wengine wanafurahia.

Na mtu wa namna hii anefurahia si mwingine isipokuwa ni mhalifu kama huyu aliyefanya tukio hili baya, nao tutawashughulikia kwa mujibu wa sheria tutakapowapata.

Ila tu niombe wananchi tutumie tukio hili kama changamoto na tutiane nguvu ili mwisho wa siku tuweze kushinda hii vita ya uhalifu kwa sababu hakuna mtu anayependa uhalifu na wote tunapenda amani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huku ni kupoteza muda na mali. Muwatafute wahalifu hapa nitaasifu sana. msitumie muda wenu kuwasaka wapiga kelele na potojo tu.haisaidii . Tumieni muda wenu kuwasaks majambazi

    ReplyDelete

Top Post Ad