Imefichukaa...Nuh Mziwanda Afumwa na Shilole Zanzibar..Ajitetea Hivi..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda amesema Shilole ni msanii mwenzake na walivyoenda Zanzibar hawakuwa pamoja kila mtu alikuwa ameenda kwa kazi yake.

Akipiga story kupitia eNewz ya EATV Nuh Mziwanda amesema hata kama akiamua kutoka nje ya ndoa siyo lazima atoke na Shilole kwakuwa wanawake ni wengi na anapokuwa  kwenye show huwa anakutana na wanawake wengi hivyo siyo lazima atembee na Shilole..

Hata hivyo Nuh Mziwanda amesema haoni sababu ya kutoka nje ya ndoa yake na mashabiki zake wanapaswa kuelewa kwamba anapokuwa kwenye show moja na Shilole ni kutokana na maslahi hawezi kukataa pesa eti kwa sababu show aliyopata Shilole yupo.

Pia Nuh alimalizia kwa kusema "Zanzibar kila mtu alienda kwa kazi zake japo tulijikuta tumeshukia hotel moja, Shilole akiwa ameenda kuzindua Pub lakini mimi nilikuwa nimeitwa na nimepewa pesa zangu kwa ajili ya kufanya show"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad