Tahadhari..Mvua Kubwa Zaidi Kunyesha Usiku Huu,,Sambaza Ujumbe Huu kwa Jamaa Zako..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari  kwa Watanzania  juu ya kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa kuanzia leo Jumatatu hadi  Jumatano.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyoitoa leo (Jumatatu), mamlaka hiyo imesema kutakuwa na vipindi vifupi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24.

Mamlaka hiyo imesema mikoa itakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Lindi, Mtwara, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

“Mvua hii yenye wastani wa asilimia 60, inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua nchini,” imesema taarifa hiyo.

Kutokana na hali hiyo, mamlaka imewataka wakazi mikoa hiyo kuchukua hatua stahiki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad