AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Marais wastaafu hatukuwahi kuona wakishangiliwa, si MKAPA, wala MWINYI hata Baba wa taifa sikumbuki kuona akiingia sehemu baada ya kustaafu na watu wakaanza tu kumshangilia bila sababu. Mara nyingi mzee Nyerere alishangiliwa hasa wakati wa speech zake tamu na zenye kugusa.
Swali linaloumiza kichwa, Je huyu Kikwete aliyelaumiwa kila kona wakati wa miaka yake ya URAIS ni kweli kwamba hatukutambua ubora wake wakati huo, au tunamshangilia ili tu kumuudhi na kumkomoa JPM ambaye amejipambanua kuhakikisha anarekebisha yale yaliyofanywa na kikwete?
Nimeshindwa kung'amua kimsingi hasa shangwe za wananchi kwa Kikwete, au wanamuinjoy tu, kama wasemavyo waswahili??
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ni unafiki tu. Kwangu mimi hakuna Rais alie bora na kutuletea heshima Tanzania kwa muda mfupi tu aliokaa madarakani kama Magufuli. Mnalalamika sasa lakini mipango ya Magufuli yakikamilika ndio mtakapojua. Magufuli oyeeeee daima. Hapa kazi tu
ReplyDeleteunafiki unakuponza wewe na si wantanzania wote!!!!
ReplyDelete