Kiti Chenye Mfano wa Uume Chazua Kizaa Zaa Mexico..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati aina mpya ya kiti kilionekana ghafla ndani ya treni kwenye mji mku nchini Mexico, Mexico City, kiti hicho kilitajwa kuwa cha kuchukiza na cha aibu.

Kiti hicho kina mfano wa uume na kifua kilichotengenezwa kuashiria udhalilishaji wa kingono wanaopitia abiria wanawake.

Kiti hicho si cha kudumu , lakini ni sehemu ya kampeni iliyoziduliwa na wanawake wa Umoja wa Mataifa, yenye lengo la kuangazia udhalilishaji wa kingono kweney usafiri wa umma

Kwenye video iliyochapishwa na kutazamwa mara 700,000 muda siku kumi zilizopita, bbadhi ya watu waliipongeza huku wengine wakisema kuwa haikuwatendea vyema wanaume.

Sekta ya usafiri wa umma kwa njia ya treni nchini Mexico imekuwa na historia mbaya kutokana na tatizo la usalama wa wanawake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad