Mbinu Mpya ya Mademu, Tafadhali Usikubali Akakufanyia..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wanaumeee!!! Kama kawa kama dawa Brigedia wenu mpelelezi A.K.A mtetezi wa kambi ya kiumeni  ninaendelea kutekeleza majukumu yangu ya kuhakikisha Majita wote wanaishi kwa kuserereka bila kukwama yani.
'
Ebhana washkaji zangu juzikati nilienda kumnunulia manzi mmoja hivi Underwear, Sasa kuna demu nikakutana nae hapo dukani na nikawa napiga nae stori za mbili tatu,  kwaufupi huyo demu tunafahamiana juu juu tu, Ile katika utani wa hapa na pale akawa anaelezea Uzoefu wake wa ku-date na wanaume wa aina mbali mbali, na akagusia kitu kimoja ambacho kimenifanya mpaka niandike hii thread,

Alisema yeye kabla ya kumkubalia Njemba kwenda nae kusex huwa anahakikisha anafanya juu chini mpaka anahakikisha anaupapasa mjegejo ili kuujua ukubwa wake,

Na kama atahisi ni mkubwa na utamuumiza au hatoweza kuhimili mikikimikiki yake basi atatunga mauongo ya fasta na kutoa vijisababu kibao ilimradi tendo lihairishwe.

Na akasema hiyo mbinu wanaitumia wanawake kisirisiri na ndomana unakuta demu ameshakulia vitu vyako au mmeshaahidiana lakini ghafla anakubadilikia na mnajikuta mnasitisha shughuli ya kulegeza chaga,
'
Sasa Maninja eeeh inabidi tuweke mikakati madhubuti ya kuhakikisha haturuhusu mademu kuipapasa mitulinga yetu kivyovyote vile, Na hii ifike mbali zaidi na iwe kwa wote hata wale wakuitwa vibamia pia! Manake unaweza ukakutana na demu kama Evelyn Salt Ambae anapenda dude la kijeshi, sasa akikupapasa akakutana na mbilimbi basi HESABIA UMEUMIA...!!!
Am Done!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad