NI Vigumu Kuelewa Kuwa Mapenzi ni Pamoja na Kipigo – Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi ameeleza  Bungeni mjini Dodoma kuwa imekuwa vigumu watu kutambua kuwa mapenzi yamekuwa yakiendana na kipigo kwa wapendanao hivyo kuhatarisha maisha.

Prof. Palamagamba ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) kuhusu mkakati wa serikali kupambana na tatizo la ukeketaji wa watoto wa kike na unyanyasaji wa wananwake jambo ambalo ni kinyume cha sheria ya nchi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad