Serikali Yapokea Msaada wa Bilioni 490 Kutoka Umoja wa Ulaya za Miradi ya Maendeleo..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imepokea msaada wa Sh490 bilioni kutoka Umoja wa Ulaya(EU),  kwa ajili ya kufanikisha miradi ya kilimo, afya na viwanda.

Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Doto James amesema maelekezo ya msaada huo ni sehemu ya mpango wa pili wa maendeleo wa serikali.

“Wametoa euro 205 sawa na Sh486.9bilioni na watazitoa katika kipindi cha miaka minne kuanzia msimu huu wa bajeti, wanaanza kutoa Sh120bilioni,"alisema James wakati wa kusaini makubaliano ya upokeaji wa msaada huo.

"Serikali haipokei msaada bila utaratibu,kabla ya kuzipokea Kamati ya kitaifa ya madeni inautazama na kutoa ushauri kwa serikali."alisema
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad