WIZI wa Karne Paraguay - Zaidi ya Bilioni 90 (40$ M) Zaporwa Kibabe na Majambazi 50 Mchana Kweupe..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika Tuko la wizi ambalo limetokea 25 April 2017, huko nchini Paraguay katika mpaka wake na Brazil , kwa kikundi cha majambazi wapatao 50 kkuamua kuvamia gari la kutunzia la kusafirishia fedha na kufanikiwa kupona zaid ya Bilioni 90 mchana kkweupeee na kisha kusepa Paso na mamlaka kujua kama yametorekea Brazil au yamezamia huko huko Paraguay.

Kulingana na namna hao majambazi walivyokuwa wako "full mass in order" walifanikiwa kulipua chemba "vaults" za kutunzia fedha kwa milipuko mikubwa na kufanikiwa kutimka na Kiasi hicho cha fedha huku kati yao majambazi 3 yakiuwawa eneo la tukio na mengine 4 kudakwa ila majambazi yaliyosalia yalifanikiwa kusepa na Kiasi hicho cha fedha na kutokomea kusiko julikana. 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad