AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msafara wa wachezaji,benchi la ufundi na viongozi utaondoka saa 11 jioni na ndege ya shirika la ndege la ATC.
Wachezaji watakaoondoka ni...
Makipa:
Deogratius Munishi, Beno Kakolanya na Ally Mustapha. Nafasi ya ulinzi ni ; Nadir Haroub,Vicent Andrew, Oscar Joshua , Juma Abdul , Mwinyi Haji, Hassan Kessy na Kelvin Yondani.
Viungo:
Thabani Kamusoko, Haruna Niyonzima, Deusi Kaseke,Said Makapu, Juma Mahadhi, Saimoni Msuva, Geofrey Mwashuiya na Emmanuel Martin.
Washambuliaji:
Amissi Tambwe , Matheo Antony na Obrey Chirwa.
Wachezaji watakaoukosa mchezo huo kwa sababu mbalimbali ni: Malimi Busungu,Vincent Bossou na Donald Ngoma
Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano;
Young Africans SC
27/04/2017
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK