ALI Kiba Aendelea Kupoteza Mashabiki...Shilole Nae Amkana Live Amweka Mbele Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki, Zuwena Mohammed aka ‘Shilole’, amedai yeye ni shabiki wa damu wa Diamond na sio Alikiba.

Akiongea katika Kikaango cha EATV Jumatano hii, Shilole amedai anampenda Diamond kutokana na vile alivyo pamoja na vitu anavyofanya.

“Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba,” alisema Shilole. “Nampenda Diamond kutokana na mambo yake na vile alivyo, kwa hiyo kila mtu ana watu anaowakubali na kuwapenda,”

Katika hatua nyingine Shilole amedai yeye alishtuka mapema na kuchomoka kwenye tasnia ya Bongo Movie maana kama aliona kuwa mbele itakuja kuyumba.

Alisema yeye ameridhika na muziki kwani muziki unamlipa na umempa mafanikio makubwa ambayo kama angekuwa kwenye filamu huenda asingeyapata.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana muda na shabiki uvundo.

    ReplyDelete
  2. shilole kajipendekeza kwa Domo siku nyingi. ajabu wamemsusa sijui ndo kaamua kuja na gea mpya. hayupo kwenye time table ya Kiba aache unafiki.

    ReplyDelete
  3. kadodaaa! anatapata Nuhu kajua kumuweza, kabakia kuhaha hana jipya shishi kauze vitumbua.

    ReplyDelete
  4. Unamchukia Ali kwa sababu alimsaidia Nuhu kukunanga kwenye janamke Shupa... Lakini Ali ni mwanamuziki mzuri tu na anajua kuimba na sauti yake ni nzuri sana.

    ReplyDelete
  5. chizi la Igunga hiloo. linataka kumbaka Dai sasa. anaona Hamisa anafaidi sana. kuliko bibi yake Zari.

    ReplyDelete
  6. madada poa wako wengi siku hizi. wanajiuza kiaina ili Bashite asiwastukie.

    ReplyDelete

Top Post Ad