BARABARA ya Mwenge Hadi Morocco Ilojengwa kwa Fedha za Uhuru Yaanza Kuharibika..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais Magufuli aliamuru Sh bilioni 4 zilizopaswa kutumika kugharamia sherehe za sikukuu ya Uhuru, ambazo zingefanyika Desemba 9, 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco yenye Kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami. Kazi lifanyika mara tu tangazo kutoka, inasemekana hata tenda haikutangazwa. Bali Mkandalasi aliingia site mara moja na kuanza kutengeneza.

Leo nlipofika Dar es Salaam Mwaka mmoja baada ya Ujenzi, Nimeshangaa Kukuta barabara ina mawimbi na imeanza kuharibika. Nmesikitika sana sema sina la kufanya.

Nlitegemea kwa kuwa ilikuwa ndo barabara yake ya Kwanza tangu awe Rais basi ingekuwa ya kiwango cha juu na Mfano kwa barabara nyingine. Kwanza alama za barabara hazieleweki. Na ndicho kilinifanya nianze kuikagua. Au bado haijakabidhiwa? Kama bado isipokelewe.

Katika Barabara za Dar es Salaam ni barabara moja tu ya Sam Nujoma ambayo nimeona angalau inakidhi haja. Naomba Rais Magufuli aendelee kutumbua Majipu hadi nchi ikae sawa. Hivi walitaka rais Magufuli ndo aingie site kusimamia Ujenzi wa barabara?

Tumechoka ubabaishaji.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtoa post Asante hapa nina mchango kidogo....barabara hile ilipo anza kujengwa serikali ilikuwa haina pesa...na ktk mahojiano ya ana kwa ana kwa watumiaji wa barabara hiyo na waandushi wa habari walithibitisha kuwa uwamuzi hule ulikuwa ni mzuri. Ubora wa barabara utokana na budget, kwa wakati hule barabara ilijengwa kulingana na budget iliyokuwapo....pale inatakiwa ushauri wa kiufundi wa kuboresha mradi uliodumu mwaka mmoja husiwe ushauri wa kisiasa kutafuta umaarufu.

    ReplyDelete

Top Post Ad