HIZI Hapa Faida za Kula Ndizi Kila Siku Kama Unataka Kuwa Mwanaume wa Ukweli..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ndizi ni mojawapo ya tunda lenye ladha nzuri na limekuwa likipendwa na watu kutokana na ladha yake hiyo.

Aidha ndizi imekuwa likisifika sana kwa faida zake za kiafya, japokuwa si wengi wanazifahamu kwani wengi hulichukulia kama tunda la kawaida tu.

Hata hivyo ni vyema ikafahamika kuwa tunda hili ni nzuri sana kwa wanaume kutokana na kuwa na uwezo mzuri wa kuboresha masuala ya uzazi kwa jinsia hiyo.

Ndizi ni nzuri sana katika kuboresha mbegu za kiume na kuongeza uwezo wa kufanya tendo hilo vizuri na kwa muda, hivyo ni vizuri kujenga utaratibu wa kula tunda hili mara kwa mara ili kupata faida zaidi.

Ndani ya ndizi kuna virutubisho muhimu kama 'potassium' ambayo husaidia sana kuongeza kiwango cha mbegu kwa wanaume.

Pamoja na hayo ikiwa utaona unamuda mrefu kwenye ndoa na hujafanikiwa kupata mtoto ni vizuri ukafanya utaratibu wa kuwaona wataalam kwa ushauri zaidi

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad