KAZIi Imeanza, TLS Kumburuza Mahakamani RC Makonda...!!!

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Rais Wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema Chama hicho kwa Azimio La Baraza La Uongozi Wake, Kitamfikisha Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Media Group.

Pia TLS Imeahidi kushughulikia suala La Fao La Kujitoa. 
Ameyasema hayo leo mkoani Dodoma alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mzee hajanikalia sawa. Kila siku mahakamani kwa mambo ya kipuuzi.hana lolote kazi kutafuta Kiki zisizo na mana. Huko mahakamani analipa yeye binafsi? Au ndio pesa za serikali anazozichezea hivyo. Badala za kutumika kwa maendelezo ya nchi zinatumika kwa makesi yasio kichwa na miguu. Hata akifukuzwa bashete ndio itawarudishia kazi zao wale watu 10,000 walioachishwa. Wasaidie hao na muache makonda achape kazi. Au na were ni kibaraka wa west? Maana tumeona nchi nyingi wapinzani wanavyo nunuliwa na ndio Maana Kila afanyalo rais kwake yeye ni baya tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad