KWA Maoni Haya ya Raia wa Afrika Kusini, Bora Zuma Asingekuja Tanzania..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kama wanafika hatua ya kutudharau hivi basi hata ziara ya huyu Rais wao haikuwa na maaana tena kwetu


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mh ni kweli kama uliangalia vyombo vya habari hapa south africa habari ya raisi zuma kutembelea tanzania hazikupewa nafasi yoyote hapa wala kuzungumziwa sembuse mtu binafsi atasema nini?.hajui dunia inaendaje.pia kwao kuhusu tanzania wanaona ni nchi dogo haitawasaidia matatizo yao wenyewe wanashida wanakwenda kuomba mainvesta kutoka marekani na ulaya waje waisaidie nnchi yao na hali mbaya ya uchumi sisitunategemea wao watusaidie sisi jamani tanzania amkeni muangalie upande mwingine .

    ReplyDelete
  2. South Africans will never appreciate pple from other countries that are great for the support offered during their freedom fiest struggle in which caused lot of damages to respective countries by deepening themselves into poverty.

    ReplyDelete

Top Post Ad