Lissu, Zitto, Kigwangalla, Ridhiwani Walipuka Ripoti ya Mchanga..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baadhi ya wabunge wameibua hoja tofauti kwenye mitandao ya kijamii baada ya Rais John Magufuli kupokea ripoti ya mchanga wa madini Ikulu, leo.

Katika akaunti yake ya Twitter, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameandika, “pongezi kwa kazi nzuri iliyofanywa na tume.”

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe katika ukurasa wake wa Twitter ameandika, “utafiti unapingwa kwa utafiti. Kwa sasa Kamati ya Mruma Ndio rejea sahihi kwenye suala la mchanga na hivyo nakubali mapendekezo yaliyomo.”

Naye, Naibu Waziri Afya, Hamis Kigwangalla katika akaunti yake yaTwitter ameandika, “sishangai kumsikia Rais wetu akisema 'wasomi' tumeiangusha nchi. Kwa kila namna tunapaswa kujitazama sana.”

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameandika, “nimemsikiliza mheshimiwa Rais na kuendelea kuielewa nia yake njema ya kuisaidia nchi yake. Tuko pamoja na ninakuunga mkono.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo Zitto Kabwe naye ni mnafiki, yeye ndio alikuwa wakwanza kusema kwamba kitendo cha kuzuia ule mchanga bandarini serikali inapata hasara, vipi tena leo anatia ulimi wake puani?? Au ndio mmoja kati ya wale walojazwa kwenye account zao! Wakati mwingine nyie wapinzani hebu muone aibu japo kidogo jamani.

    ReplyDelete
  2. ZITO NI MNAFIKI HANA BUDI KUCHUNGUZWA.

    ReplyDelete

Top Post Ad