MANGE Kimambi Akipa Tano Kituo cha Radio Clouds FM Msiba wa Wanafunzi Arusha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mange Kimambi Akipa Tano Kituo cha Radio Clouds FM Msiba wa Wanafunzi Arusha

Ameandika haya hapa chini:
.
#Regrann from #mangekimambi_ - Sijui nyinyi, Ila mimi nimeona hawa watu walichangia mnoooo kufanya siku ya jana kuwa na hisia za kipekee au kuiongezea umuhimu siku Hiyo.... Kwanza jeshi la Wananchi, kusema kweli waliji organize vizuri, shughuli ikawa na uzito. Seriously jeshi letu jana lilitufanya tukajivua kuwa watanzania....
.
.
Clouds huwa wana matatizo yao sometimes ila kwa jana kwa kweli walikuwa the people's station for real! Yani Clouds waliivalia njuga shughuli na kuipa uzito wa aina yake..
.
.
Huyu Kijana @engine kusema kweli nyimbo yake Jana iliongeza hisia za uchungu. Tena ukiwaza alitunga nyimbo ile ndani ya Sasa 24. Yani nyimbo yake ilikuwa on repeat. Ilikuwa inapigwa na kurudiwa over and over. Yani ndo ilikuwa official song ya shughuli ile....Yani Dah nyimbo iliendana na Shughuli. So Na yeye tumpe nafasi kubwa kwenye tukio la Jana. @engine I hope kuna mtu ataona kipaji chako akunyanyue na wewe utoke. Watanzania watakusapoti sana maana umekuwa unaimba nyimbo za kuwagusa hisia zao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila kitu anajua yeye, kusifia yeye, kuponda yeye.

    ReplyDelete

Top Post Ad