MBUNGE Nchini Australia Apigwa Picha Akimnyonyesha Mwanae Wakati Bunge Likiendelea..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watu husema hakuna kinachozidi upendo wa mama na wengi wao wamedhihirisha hilo kama ilivyokuwa kwa  Seneta wa Australia, Larissa Waters ambaye aliamua kumnyonyesha mtoto wake wa miezi miwili akiwa bungeni.

Waters ameweka rekodi ya kuwa mwanasiasa wa kwanza kufanya hivyo  nchini humo.

Hata hivyo Bunge la nchi hiyo liliruhusu kunyonyesha lakini tangu lilipotoa ruhusa hiyo hakuna mbunge aliyewahi kufanya hivyo.

Waters  amewatia moyo wanawake kwa kusema kuwa wanataka wanawake wazazi wengi zaidi bungeni kwa sababu hakuna shaka juu ya kunyonyesha mtoto.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad