Mose Iyobo afungukia mipaka ya kuigiza aliyomuwekea Aunt Ezekiel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dancer wa WCB ambaye pia ni mzazi mwenza wa staa wa Bongo movie Aunt Ezekiel, Mose Iyobo amefunguka kukubaliana na mpenzi wake huyo kuwa hakuna haja ya kulala kambini wakati wanatengeneza movie bali anatakiwa kurudi nyumbani kila wakimaliza kupiga picha.

Iyobo amezungumza kupitia 255 ya XXL May 25, 2017 na kusema hakuna haja ya Aunt Ezekiel kulala kambini kwa sababu hata hizo scene ana-shoot mchana hivyo ni vizuri arudi nyumbani na hakuna haja ya kulala huko.

“Mwanzoni hiyo hali ilikuwa inaniumiza lakini tulipokubalina kuwa mimi ni baba na yeye ni mama basi vitu vya kambini vikaisha. Kama anaenda ku-shoot siku nzima, aka-shoot na ahakikishe anarudi nyumbani lakini sio kulala huko huko.

“Utalalaje huko wakati una nyumba? Halafu kama ku-shoot hafanyi hivyo asubuhi, sasa kwa nini akalale kambini. Ni kweli haamki mapema, anaamka karibu saa 6 mchana kwa hiyo ni bora alale nyumbani asubuhi aende kazini. Ni wivu tu wa mapenzi na wasiwasi ndio akili sasa kwa nini akalale huko?” – Mose Iyobo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad