Mose Iyobo ‘Amchimba biti’ Aunt Ezekiel Kulala Kambi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni kawaida kwa wasanii movie kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya kushoot filamu zao, sasa mpenzi wa malkia wa filamu Aunt Ezekiel,  Mose Iyobo amempiga marufuku mrembo huyo kulala kambini kisa wivu wa kimapenzi.


Mose Iyobo ameimbia show ya XXL kuwa mwanzoni suala hilo lilikuwa linamuumiza kwa sababu walikuwa wanakutana mara chache sana.

“Lakini tulipokubaliana yeye ni Mama na mimi ni Baba vitu vya kambini vikaisha, kama ni kushoot hakikisha unarudi nyumbani sio kulala huko huko. Nyumba ipo ukalale kambini kwa kisingizio gani  na haushoot alfajiri, bali ni mchana kwa nini usilale nyumbani uamke asubuhi ndio uende,  mimi sitaki mambo ya kulala kambini, basi alinielewa tu… ni vivu wa mapenzi na wasiwasi siunajua ndio akili,” ameeleza Mose Iyobo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad