Msichana amkata uume mtuhumiwa aliyembaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamke mmoja nchini India amezikata sehemu ‘nyeti’ za mwalimu wa dini katika jimbo la kusini la Keral kwa kudai kuwa alimbaka kwa miaka mingi.


Polisi wamesema kuwa mtuhumiwa anayejulikana kama Gangeshananda Theerthapada alikuwa akizuru katika nyumba ya mwanamke huyo ili kumfanyia matambiko ya ibada baba ya mwanamke huyo aliyekuwa mgonjwa.


Mama yake alikuwa na matumaini kuwa mtuhumiwa huyo aliyejidai kuwa mtakatifu ataiondolea familia hiyo matatizo. Badala yake alikuwa akimbaka msichana huyo mwenye miaka 23 kila anapotembea nyumba hiyo.


Ijumaa iliyopita alichukua kisu na kumshambulia alipojaribu kumbaka na baadaye akaita maofisa wa polisi. Mbakaji huyo alikimbizwa hospitalini ili kufanyiwa upasuaji wa dharura
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwali duniani kuna mambo... kwanza kabisa huyo mwanamke ana miaka 23 afu amebakwa mara nyingi,, swali langu ni hivi kweli kwa mara zote hizo alikuwa hajamzoea na kufurahia hilo tendo kweli? ingekuwa mara moja na kumkata sawa Hapo sipo..

    ReplyDelete

Top Post Ad