Mzee Yusuph Agonga Mwamba Kuifuta Bendi ya Jahazi Modern Taarab....Aambiwa Ajifute Yeye ila si Bendi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kuacha kufanya muziki, Mzee Yusuf alitaka kuifuta kabisa Jahazi Modern Taarab, lakini Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA lilimzuia.

Amesema kwa mujibu wa sheria za serikali, haiwezekani tu kuifuta bendi kwakuwa inaweza kuendelezwa na watu waliosalia.
“Nilikusudia niivunje Jahazi kama ninavyovunja nyumba,” Mzee Yusuf alikiambia kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM. “Lakini sheria za nchi hakuna utaratibu huo, wewe ondoka na ujiachishe kila kitu.”

Aliongeza kuwa kwa sasa hajui chochote kinachooendelea kwenye bendi hiyo na wala hataki kujua. Hata hivyo alikiri kuwa tangu ameacha muziki ameyumba kiuchumi japo hajutii na moyo wake una amani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad