RAMBIRAMBI za Waliokufa wa Shule ya Lucky Vincent, Arusha Zadaiwa Kuchezewa Rafu na Kutafunwa....!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Familia za Wanafunzi, Waalimu/Dereva zilizopoteza wapendwa wao kwenye ajali ya gari la shule ya Lucky Vincent huko Arusha zimepatiwa kila moja kiasi cha shilingi Milioni 3.6, (Pesa Zingine zilizotolewa zimetumika kugharamia gharama Zingine. Millions 60, 400,000) zipi?

Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Arusha,jumla ya shilingi milioni 190 zimetumika kwenye gharama zote.

Kimahesabu jumla ya shilingi Milioni 129,600,000 ndizo walizopewa wafiwa kama Rambirambi baada ya matumizi mengine.Kiasi cha shilingi milioni 60,400,000 ndizo zilizotumika kwa matumizi mengineyo.

Swali langu moja tuu,
"Serikali ilitangaza itagharamia Mambo yoote ya Msiba mpaka kuzika, sasa hii ya kusema tena kiasi flani cha fedha ya Rambi rambi kilichotolewa kimetumika kwa mambo mengine ni yapi hayo? Ili kuondoa utata vichwani mwa wengi, ingependeza endapo yangetajwa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Enter your comment...kweli kabisa maana waliahidi kuwa watagharamia msiba sasa wao wamegharamia nini? Yamekuwa kama ya fedha za pole kwa waathirika wa tetemeko la Kagera

    ReplyDelete

Top Post Ad