AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”UNAMSHAURI NINI RAY KUTOKANA NA KAULI YAKE?
Chanzo: Mwanaspoti
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ache wanyooooke
ReplyDelete