Ticker

6/recent/ticker-posts

SIKU Chcahe Baada ya Wema Kuonekana na Diamond Kwenye Party..Zari Aibuka na Hili Juu ya Mahusiano Yake na Diamond..!!!

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Ikiwa imepita wiki kwa sumbaa picha zikimuonesha wema na Diamond wapo kwenye party ya Meneja wa Diamond, Zari akapost picha ya kutaka tumuombee ex- wake Ivan apone kwani anaumwa na amelazwa katika hospital moja huko Afrika Kusini

Hatimaye leo Zari ameamua kuweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake Diamond mambo kwao ni safi tu. Zari amepost picha akiwa na baby daddy wake huyo kupitia Instagram zikiwa ni throwback ya picha za arobaini ya mtoto wao wa pili Nillan.

Siku chache zilizopita Wema Sepetu Naye alimjibu shabiki yake kuwa yeye na Diamond hakuna kitu na kwamba watu wamuombee apate mume bora na sio bora mume.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Tanzania Zipo HAPA

Ufadhili wa Masomo ( Scholaships) Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments