WIVU wa Mapenzi Wamfanya Amkate Mpenzi Wake Kiganja na Panga..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


POLISI mkoani Mwanza inamshikilia mtu mmoja nayejulikana kwa jina la Mkama Mgengele (36), mkazi wa kisiwa cha Ghana katika Kijiji cha Kamasi Kata Ilangala wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kwa tuhuma za  kumfanyia ukatili mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake kwa kumkata kiganja cha mkono wake wa kushoto.

Mgengele anadaiwa kufanya tukio hilo la kumkata na kitu chenye ncha kali kwenye kiganja cha mkono wa kushoto hadi kudondoka chini mpnzi wake huyo.

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi,  alisema Mei 14 mwaka huu majira ya usiku, mtuhumiwa alimkata kiganja cha mkono wa kushoto kisha akamkata tena kwenye paja la mguu wa kulia, mwanamke aliyefahamika kwa jina la Ester Lazalo (37)ambaye inadaiwa alikuwa mpenzi wake.

Msangi alikuwa hivi karibuni walikuwa katika mgogoro wa kimapenzi na kwamba mtuhumiwa alifika kazini kwa Ester na kuanza kumrushia maneno makali kabla ya kumkata.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad