Bajeti ya Mwaka 2017/18..Serikali Yazuia Usafirishaji Madini wa Moja kwa Moja Kutoka Mgodini..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali imesema haitaruhusu usafirishaji wa madini moja kwa moja kutoka mgodini na kupelekwa nje ya nchi.

Hayo yameelezwa leo Alhamisi na Waziri wa Fedha na Mipango, Phillip Mpango wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka 2017/18.

Badala yake kutakuwa na viwanja maalumu vya kimataifa katika bandari, migodini na madini hayo yatathibitishwa na kupewa kibali kabla ya kusafirishwa nje.

“Kibali hicho kitatozwa ada ya asilimia moja ya thamani ya madini hayo,” amesema.

Amesema Serikali itatangaza rasmi tarehe rasmi ya kuanza  kwa ada hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad