AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Awali Evence aveva na Mwenzake alipandishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu na Kusomewa mashtala Matano mbele ya Hakimu Mkazi victoria Nongwa na Wakili msigwa .
Baadaye alipandishwa Raisi wa TTF Jamali Malinzi na wenzake mbele ya Hakimu Mkazi Wilbard Mashauri ambao walisomewa mashataka 28 pamoja na kughushi nyaraka na utakatishaji Fedha.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hili liwe funzo kwa wengine, tusi-ishi kwa mazoea, awamu hii ya 5 'siyo' ile, hebu na tukae kwenye mstari ulonyooka
ReplyDeleteSAFI SANA !!! NA MTANYOOOKA TU HAKUNA KUREMBE HII AWAMU YA TANO BANA!!!
ReplyDelete