AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Moja ya masharti hayo ni kuwa anayeomba visa lazima awe na uhusiano na mtu mwenye ushirikiano wa kibiashara na Marekani.
Nchi zinazoguswa na masharti hayo ni pamoja na Iran, Libya, Somalia, Sudan Syria na Yemen.
Ujumbe kuhusu masharti hayo umetumwa katika balozi zote za nchi hizo.
Masharti hayo mapya yameanza kutekelezwa jana na yanagusa pia mahusiano ya kifamilia kama mzazi, mkeo ama mumeo, mtoto wa kiume ama wa kike aliye Marekani.
Masharti hayo yanatolewa baada ya Mahakama Kuu nchini Marekani kusitisha kwa muda agizo la Rais Trump la kuzuia nchi za Kiislamu kuingia Marekani, zuio ambalo lilikosolewa.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
atawashughulikia waislam wakati juzi tu alikua arabuni anaomba pesa kwa waislam. labda atashughulikiwa yeye
ReplyDelete