BREAKING News . Aveva na Malinzi Wapandishwa Kizimbani Wasomewa Mashtaka ya Utakatishaji Fedha.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa Nyakati Tofauti Rais wa Simba amepandishwa kizimbani na Rais wa TFF Jamali Malinzi kusomewa mashtaka ya Kughushi nyaraka kwa nia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishashaji wa Fedha.

Awali Evence aveva na Mwenzake alipandishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu na Kusomewa mashtala Matano mbele ya Hakimu Mkazi victoria Nongwa na Wakili msigwa .

Baadaye alipandishwa Raisi wa TTF Jamali Malinzi na wenzake mbele ya Hakimu Mkazi Wilbard Mashauri ambao walisomewa mashataka 28 pamoja na kughushi nyaraka na utakatishaji Fedha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili liwe funzo kwa wengine, tusi-ishi kwa mazoea, awamu hii ya 5 'siyo' ile, hebu na tukae kwenye mstari ulonyooka

    ReplyDelete
  2. SAFI SANA !!! NA MTANYOOOKA TU HAKUNA KUREMBE HII AWAMU YA TANO BANA!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad