FRANCIS Cheka Afunguka Mazito Baada ya Kutwangwa na Mswisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kupokea mkong’oto kutoka kwa Mswisi Enes Zecirevic usiku wa kuamkia leo Jumapili, bondia Francis Cheka amefunguka sababu za kupoteza pambano hilo.

 

Cheka ambaye alipigwa kwa pointi za majaji 3-0 kwenye pambano hilo la raundi nane la uzani mwepesi wa juu (kg 81) lililofanyika mjini Geneva, amesema pambano hilo alishindwa kwa pointi za ugenini kwani ilitakiwa ashinde kwa Knock Out.

“Nisingeweza kushinda kwa pointi, nilijua matokeo yale baada ya kumaliza raundi zote. Siku zote unapocheza ugenini na kumaliza raundi zote ni vigumu kupewa ushindi dhidi ya mwenyeji, ndivyo ilivyokuwa hata na kwangu.

“Nimeumizwa kuharibu rekodi yangu, lakini sijashangazwa na kupigwa kwa pointi kwani ni ushindi ambao yoyote anaweza kupewa,” amesema Cheka kwenye mahojiano yake na Gazeti la Mwananchi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad